Uislamu kwa nchi |
Uislamu nchini Aljeria ni dini karibu ya watu wote wa Aljeria. Imeenea karibuni katika kila nyanja za maisha ya Waljeria. Sehemu kubwa ya raia wake ni waumini wa dhehebu la Suni. Uislamu nchini Aljeria unatoa huduma zake za kijamii na utamaduni ikiwa pamoja na mazingira yanayouzunguka Uislamu kila siku. Uchunguzi wa imani ya Orthodox ni mdogo mno hata uenezi na ukuaji wa haraka wa shughuli zake ni hafifu kulinganisha na ujulikanaji wa dini ya Uislamu. Pia kuna salfasa za Wasufi ambayo imeanza kutoa somo lake kwa baadhi ya wanafunzi wake.[1]